Nimekuwa na Mahusiano na Zilla kwa Miaka Mitano “-Bella

Mwanadada bella ambae alianza kuonhea katika mitandao kuhusu mahusiano yak na mwanamuziki GODZILLA ,ameendelea kuonyesha msisitizo wake juu ya kutangaza kuhusu swala lake la kuwa kwenye mahusiano na marehemu God ambae amefariki mapema wiki hii.

Belll anasema kuwa swala kubwa lililomfanya yeye kushindwa kuweka wazi mahusiano yake ni kwa sababu alishawai kufanya hivyo miaka ya nyuma na hakufanikiwa kupata hata ndoa zaidi ya pete ya uchumba na pia walikuwa wameshauliana na God kuwa wasiweka mahusiano yao wazi mpaka pale watakapokaribia kuoana.

download latest music    

Hata hivyo Belaa anasema kuwa amekuwa katika mahusiano na God lkwa muda wa miaka mitano na hata siku moja hawakuwahi kuwa katika mahusiano ya uarafiki kwa sababu mara tu walipokutana na zilla walianza kuwa wapenzi kabla ya kuanza kufanya kazi pamoja.

Ikumbukwe kuwa mwanadada huyo aliamua kuweka wazi swala hili masaa machachge baada ya msanii huyo kufariki katika mitandao ilhali huko nyuma aliwai kuulizwa na kukanusha swala hilo kwa kusema kuwa ni kaka yake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.