Loading...

Nina Ukubwa Gani Hata Nisolewe Tena :-Khadija kopa

January 11, 2019 at 04:15
Nina Ukubwa Gani Hata Nisolewe Tena :-Khadija kopa

Mwanamama khadija kopa amefunguka na kusema kuwa kuna watu wamekuwa wakimuandama sana kuhusu swala la yeye kutka kuolewa tena huku wakiwa kama hawawaoni wale ambao wamekuwa wakitembea na vijana wdogo chini ya umri wao.

khadija kopa anasema kuwa anachoamini yeye ni kuwa kama umri wake bado unaruhusu anachosubiri ni bahati yake kutoka kwa Mungu kumleta mwanaume anaeona yeye kuwa anamfaaa lakini swala la kuolewa halina maajabu tena hasa kwa umri wake.

Loading...

akijibu tuhuma hizo kwa bashasha Khadija kopa anasema “mimi nia ukubwa gani hata nisiolewe tena, hao wa bibi wanaohangaika na watoto wadogo  hamuwaoni ndo mseme mimi  siweiz olewa tena.mimi nipo tayari kuolewa nasubiri riziki yangu  Mungu akiniletea.

Share

Comments

  1. Olewa mama olewa

  2. wahenga wanasema vunja mifupa kama meno ingali ipo

  3. Ponda raha kesi baadaye

  4. kwa raha zako wala mtu asikuambie kitu

  5. nikiwa mkubwa nataka kuwa kama wewe

  6. watu wanashangaza sana. Wakondeshwe na ya kwao

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…