Njia ya Asili ya Kuondoa Mafuta Katika Ngozi Ya Uso Wako

ngozi yenye mafuta huwa kerosana kwa wakina dada  hasa usoni kwa sababu moja ya adhabu ya ngozi yenye mafuta ni kuwa na chunuzi nyingi sana usoni. watu wengi wanaangaika na tatizo hilo na hata kuanza kutumia vipodozi vikali wakati kuna njia rahisi ya asili inaweza kusaidia kuondoa tatizo hilo.

Ni vizuri kutengeneza mask ya asili kuliko kutumia vile za viwandani ambazo muda mwingie uweza kuwa na kemikali kali sana, mask ya limao na asali imependekezwa kuwa moja ya vitu asili na vya haraka na bei nafuu kuvitumia nyumbani kwa ajili ya urembo wa uso wako.

download latest music    

-mahitaji

  • ute mweupe wa yai
  • vijiko vitatu vya juisi ya limao

:Changanya juisi ya limao na ute mweupe wa yai kisha paka usoni , kwa muda wa dakika kumi na tano subiri ikauke na kisha nawa uso wako na maji safi na sabuni.

NB:Mchanganyiko huu ulainisha ngozi ya uso na kuwa laini lakini pia upunguza ukubwa wa matundu ya  ngozi ya uso wako.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.