Nuh Mziwanda Amuonya Amber Lulu

Baada ya mwandada Amber Lulu kutangaza sana ktika mahojiano yake mbalimbali kuwa aliwahi kutongoza na Nuh mziwanda lakini hawezi kuwa nae kwa sababu hawezi kumtunza na kwamba ndugu zake  wangeweza hata kumshanga kama wangesikia anatoka na Nuh, sasa Nuh amefunguka na kumuonya Amber Lulu.

Nuh mziwanda amekuwa akishangazwa na tabia ya mwanadada huyo kuwa akimuongelea katika interviews zake kwa sababu yeye hana lolote analotaka kwa dada huyo huku akiwambia kuwa anaomba amsimfatilie kabisa katika swala hilo.

download latest music    

Hata hivyo Nuh anasema kuwa  anamuomba sana Amber lulu asiwe anamzungumzia sana katika mahojiano na waandishi wa habari na wala hataki kusikia habari zake katika mambo hayo.

Bado haiko wazi kama wawili hao waliwahi kuwa na mahusiano yoyote ya kimapenzi mpaka mwanadada huyo kufikia hatua ya kumuongea hivyo Nuh mziwanda.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.