Odopaccy Afunguka Sababu ya Muziki wa Rwanda Kufeli Tofauti na Tanzania

Mwanadada  Odopaccy kutoka Rwanda amefunguka na kutoa sababu kwanini muziki wao kutoka Rwanda sio haukui kama unavyokuwa muziki wa kitanzania na wasanii wanafanya vizuri lakini sio kama kule kwao.

Mwanadada huyo amesema kuwa mara nyingi anaona kuwa wasanii wa Tanzania wamekuwa wakipewa sapoti kubwa kutoka kwa media kitu ambacho kwao kule kimekuwa ni cha kukitafuta sana , lakini pia wasanii wengiwa rwanda wanaimba lugha ya kinywarwanda wakati tanzania wanaimba kiswahili kitu kinachofanya muziki kupendwa kila sehemu ambayo kiswahili kinasikilizika.

download latest music    

cha kwanza hapa Tanzania lugha,lugha ya kiswahili imekuwa kama lugha ya kimataifa lakini Rwanda kinywaruanda ni lugha ya wanyarwanda tu  so sometimes its hard kuimba na kueleweka lakini what am proud of ni kwamba  all media is promoting local music , media wanapenda waanii wa hapa sana na promotions ni kubwa sana and its okay lakini kwetu its promote music but its not like  kama huku,

Msanii huyu ambae kwa sasa yuko nchini tanzania anaomba pia kupewa sapoti na watru wa hapa huku akitamani pia kufanya kazi na baadhi ya wasanii kutoka hapa.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.