Loading...

Ommy Dimpoz Afunguka Kuhusu Afya Yake Kwa Sasa

August 27, 2018 at 14:32
Ommy Dimpoz Afunguka Kuhusu Afya Yake Kwa Sasa

Staa wa muziki wa Bongo fleva Omary Nyembo maarufu kama Ommy Dimpoz amevunja ukimya kwa mara ya kwanza na kuongea kuhusu hali yake kiafya kwa sasa.

Siku chache zilizopita taarifa za ugonjwa zilisambaa Kwenye mitandao ya kijamii na kudai a kuzidiwa gari kulazwa hodi ya wagonjwa mahututi (ICU) taarifa ambazo zilikanwa na uongozi wake wa Rockstar 4000.

Loading...

Hatimaye amevunja ukimya kuhusu afya na kufunguka kwa kuweka wazi kuwa anaendelea vizuri kwa sasa.

Kupitia ukurasa wake wa Snapchat, Ommy Dimpoz aliandika:

🙏🏾 Asanteni sana sana kwa Msg zenu Alhamdulilah naendelea vyema sana Inshallah kwa uwezo wakeboard Allah nitavuka katika kipindi hiki kigumu shukran ❤️❤️❤️❤️ “.

Ommy Dimpoz aliweka wazi hali yake kiafya mapema mwaka huu baada ya kufanyiwa upasuaji wa koo nchini Afrika ya Kusini.

Share

Comments

  1. Vyema

  2. Afadhali

  3. Ommy nakupenda bure! Quick recovery

  4. Kaka utapona usijali

  5. Be strong. We still need you around

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…