Loading...

Ommy Dimpoz ajiunga na Alikiba kwenye label mpya!

July 06, 2017 at 18:03
Ommy Dimpoz ajiunga na Alikiba kwenye label mpya!

Ommy Dimpoz ambaye anajulikana sana Afrika Mashariki hivi sasa amejiunga na label ya Rockstar4000 ambayo huwa imeshirikiana na Sony music.

Msanii huyu amefanya hivi baada ya kufanya kazi kwa miaka mingi akiwa uongozi wake mwenyewe. Lakini kwa sasa amemshirikiana na Alikiba na wanatarajia mambo makubwa kufanyika hivi karibuni.

Loading...

Rockstar4000 walidhibitisha kuwa Ommy sasa atafanya kazi chini ya uongozi wao baada ya kuandika ujumbe uliosema,

“Tanzanian Superstar singer-songwriter Ommy Dimpoz signed global exclusive management deal with #ROCKSTAR4000 & content deal #RockstarTV at the Rockstar Pan Africa Group HQ in South Africa,”

Ommy naye pia aliandika kusema,

My fans! Its official, I’ve signed with the biggest music company in Africa #RockStar4000 as my new management team and with the Premiere Pan African Music Entertainment content & News Channel #RockstarTV! Check out and subscribe to get more Ommy Dimpoz exclusives on #RockstarTV on the leading Cable & Satellite Broadcast TV channels, on mobile networks in your country or online at: #PKP_EMPIRE #SHOOOOSH#OmmyDimpoz @[email protected] @[email protected] SHOOOOSH! — The World’s Premiere Pan African Music Entertainment News Channel www.rockstartelevision.com

Mashibiki wake walimwandia comments za kumpongeza huku wakimsihi awachie nyimbo mpya!

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…