Loading...

Penzi la Uwoya na Janjaro Linavyowakosha Watu Mtandaoni.

April 16, 2018 at 14:20
Penzi la Uwoya na Janjaro Linavyowakosha Watu Mtandaoni.

Penzi la mwanadada Irene Uwoya na  Dogo Janja limezidi kuwa chachu katika mitandao ya kijamii baada ya wawili hao  kuwa wanawarusha watu roho kwa kuwaonyesha kile wanachokuwa wanakifanya katika maisha yao ya ndoa.

Katika ukurasa wake wa instagram, dogo janja aliwekanpicha ya mkewe irene uwoya na kuandika “tunza cha ndani, hawara hana shukrani #abdulfamily

Loading...

katika uwanja wa comments irene uwoay akajiu kwa bashasha kuhusu maneno ,achache ya mumewe na kuandika”nakupenda sana sijawahi kukutana na mwanaume ana akili kamaa wewe na muelewa kama wewe…mdogo lakini mmmhh achaa tu mimi ndo najua ..ndo maana wakiongeana na mimi huwa nawanagalia tu nasema [email protected] dogojanjatz”

Wiki iliyopita Irene aliwaonyesha mashabiki kuwa ametoka kuchora tatoo yenye jina la abdul ambalo ni jina la mume wake Dogo Janja na hivi karibuni amekuwa akionekana akiwa amevaa necklace yenye herufi A kumaanisha Abdul.

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…