Picha 10 za muigizaji wa Hollywood Cynthia Rothrock maarufu kwa filamu za karate akiwa Tanzania

Kama ulikuwa unapenda filamu za karate za Hollywood basi unamfahamu Cynthia Rothrock. Muigizaji huyo alikuwa maarufu sana kwa filamu kali kali kama ‘Lady Dragon’, ‘No retreat No Surrender 2’, ‘Tiger Claws’ miongoni mwa filamu kadhaa.

Cynthia sasa yuko Tanzania kwa shuguli za utalii. Ni mwezi jana tu ambapo staa mwingine wa Hollywood alingia Tanzania pia kwa ajili ya utalii.

download latest music    

Soma pia: Picha 5 za muigizaji mkongwe wa Hollywood – Harrison Ford akiwa Tanzania

Cynthia Rothrock alizuru Zanzibar na mbuga ya wanyama ya Serengeti. Tazama picha hapo chini:

About this writer:

Martin Oduor

Ultimate keyboard ninja dedicated to bringing you the juiciest stories on blogosphere