Pretty Kind Atangaza Kuokoka na Kuachana na ya Dunia.

Mwanadada Pretty Kind amefunguka na kusema kwa sasa hatokaa kujihusisha kabisa na maswala ya kidunia ikiwepo kufanya kazi za muziki wa kidunia kama ilivyokuwa hao awali.

wanadada huyo ambae amekuwa kimya sana tangu aliofungiwa na basata mara ya mwisho na hata baada ya kusamehewa ameendelea kuwa kimya , anasema kuwa hata kama itatokea kufanya kazi za kiduani hatofanya kama zamani lakini kama ataata sho ya kupefoem nyimbo zake za zamani anaweza kufanya kazi hiyo lakini kwa masharti maalum.

download latest music    

Akiongea na waandishi wa habari, Pretty kind anasema kuwa hata mavazi atakayo vaa yataenda sna na wakati aliyopo sasa inagwa ataangalia pia na muda husikia na eneo husika na mashabiki anaenda kuwafanyia show pia lakini kwa sasa yeye ameokoka.

Pretty kind anasema kuwa kwa sasa maisha yake hajiongoz mwenyewe lakini yamekuwa yakiongozwa na yule aliyepo ndani yake ambae ni roho mtakatifu, hivyo hata kama atapata show ya kwenda kuimba, mavazi na nini aimbe kitaongozwa na roho aliye ndani yake.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.