Profesa Jay Audhuria Mazishi ya Jeby Mkoani Dodoma

Msanii mkbwa na mkongwe  na mbunge wa mikumi Profesa Jay amehudhuriamazishi ya msanii wa bongo fleva Jeby ambae alifahamika sana kwa wimbo wake wa huzuni lakini wenye ujumbe wa swahiba.

Jeby alianza kuumwa march mwaka huu huku tatizo kubwa ikiwa ni upungufu wa damu ambapo alitoka mkoani iringa na kwenda dodoma kwa mdogo wake mabe ni mwanajeshi  ili kupatiwa matibabu , lakini alipofika dodoma aliweza kulazwa katika hospitali ya mkoa na ndipo mauti yalipomfika Siku ya Jumamosi wikiendi iliyopita.

download latest music    

Msiba wa Jeby ulifanyika mkoani dodoma na kuzikwa katika makaburi ya wahanga yaliyopo dodoma mkoani hapo.Tasnia ya filamu  imeendelea kukumbwa na misiba mizito ya kupotelewa na wapendwa wao.

Akiongea na waandishi wa habari Profesa Jay alieweza kushiriki mazishi hayo analezea jinsi alivyomjua jeby na jinsi alivyoguswa na msiba huo.

Nilimfahamu marehemu akiwa kipindi kile yupo karibu na tmk, na kundi la gangwe mob na kina juma nature kama unavyojua kipindi kile wasanii tulikuwa tunashirikiana sana, lakini pia nilikuwa mashabiki  wa marehemu kwa sababu alikuwa na kipaji cha kutunga nyimbo ambazo zilikuwa na ujumbe sana.a ukinangalia hata juzi baada ya kifocha aggy wimbo wake wa swahiba ulipigwa sana,lakini hakuna aliyekuwa akijua kuwa yeye ndie alikuwa anafatia.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.