Queen Vee Amkabidhi Zawadi ya Gari Calisah

Mwanadada mrembo kutoka Kenya amabae kwa sasa amesemekana kuwa na mahusinao ya kimapenzi na mwanamitindo kutoka nchini Tanzania, Calisah ameonekna leo katika picha iliyosambaa sana katika mitandao ya kijamii wakuwa na gari jipya, gari inayosemwa kuwa mwanadada huyoa memkabidhi mwanamitindo huyo.

download latest music    

Calisah na Queen vee hawakuanza mapenzi yao muda mrefu kwa sababu Queen Vee alikuwa  katika mahusiano na mwanamuziki otile brown na baada ya kuachana waligombana sana na hata kufikia hatua ya kuweka baadhi ya siri zao hadharani.

Hata hivyo zawadi ya calisah kutoka kwa Queen Vee inasemwa kuwa ni zawadi kutokana na mapenzi na mahaba anayoyapa mwanadada huyo kwa mwanaume huyo.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.