RC Paul Makonda na Mke Wake Wamkaribisha Mtoto Wao Wa Kwanza

 

Mkuu wa mkoa wa Dar-es-Salaam Paul Makonda na mke wake wamefanikiwa kumkaribisha mtoto wao wa kwanza wa kiume siku chache zilizopita.

download latest music    

RC Makonda alitangaza Habari hiyo njema Kupitia ukurasa wake wa Instagram na kuandika:

Mungu wewe ni waajabu tena unatenda Kwa wakati wako. Asante Kwa ZAWADI YA MTOTO WA KIUME @ KEAGAN P MAKONDA“.

https://www.instagram.com/p/BlU93JfgABn/?utm_source=ig_share_sheet&igshid=gp9o94t9gyot

Keagan atakuwa mtoto wa kwanza wa Mkuu mkoa wa Dar-es-Salaam na mke wake.

Wasanii mbali mbali walimpa hongera ikiwemo Diamond Platnumz, Wema Sepetu, Faraja Nyalanfu na wengineo.

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.