Loading...

Rosa Ree Akiri Kuacha Pombe Baada ya Kuona Haina Nafasi Katika Maisha Yake.

September 14, 2018 at 11:24
Rosa Ree Akiri Kuacha Pombe Baada ya Kuona Haina Nafasi Katika Maisha Yake.

Mwanadada Rosa Ree anaetikisa kwa sasa katika anga za muziki wa hip-hop nchini amefunguka na kusema kuwa japokuwa hapo awali alikuwa akinywa sana pombe lakini alikuja kugundua kuwa hatakiwi kutawaliwa nayo hivyo aliamua kuachana  nayo.

Akiongea na EATV, rosa reee anasema “unajua pombe ukiipa nafasi kubwa ya kutawala maisha yako hautaweza kuiacha hata mara moja, ila wewe ukiitawala pombe unaweza kuiacha na ndio maana hata mimi niliweza “

Loading...

Mbali na kuwa msanii wa hip-hop rosa ree amekuwa na muonekano wa tofauti sana na wasanii wengine wa kike hata anavyosema kuwa atumii kilevi inaweza kuwa ngumu baadahi ya watu kuamini kutokana na muonekano.

Share

Comments

  1. Wazo zuri.

  2. Ni kweli pombe haina manufaa yoyote kwenye maisha ya binadamu

  3. Pombe huleta kisirani tu kwenye maisha ya mtu

  4. Becky with the good hair : September 14, 2018 at 11:47 am

    Haina Faida. Umefanya uamuzi wa busara

  5. kwa raha zako

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…