Loading...

Rose Anaumia kwa Sababu Alishatafunwa na Mc pilipili:- Mwijaku

January 18, 2019 at 09:10
Rose Anaumia kwa Sababu Alishatafunwa na Mc pilipili:- Mwijaku

Jamaa ambaye alijapatia umarufu mkubwa kupitia tamthilia ya ‘Mahusiano’ Mwijaku ametia neno kwenye ndoa ya Mc Pilipili.Kwenye moja ya mahojiano Mwijaku alipoulizwa anazungumziaje ndoa ya Mc Pilipili ambaye wakati anavisha pete mpenzi wake alilia.

Hapo awali iliripotiwa kuwa mwanadada Rose ndauka anataka kufungua kesi mahakamani kwa ajili ya Mc pilipili baada ya kutangaza kuwa aliwahi kuwa na mahusiano nae ya kimapenzi jambo ambalo sio kweli.

Loading...

Bila kuficha Mwijaku alijibu “Tukubali pale hakuna ndoa ila Mc pilipili anaolewa na yule dada na natambua Rose Ndauka ameumia kwani umri wake unaenda na ajaolewa kwahiyo kuona lile tukio ameumia na ukizingatia alishatafunwa na Mc Pilipili siku za nyuma”

Share

Comments

  1. Kutafunwa kivipi yaani

  2. Si walitafunana ala

  3. Hakuna aliyetafunwa walitafunana

  4. Huyu nigga alikua analia nini sasa…shida za wanaume wafupi

  5. lol ni kweli huyo haoi anaolewa

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…