Loading...

Sabby Angel Akanusha Sifa za Wolper kwa Alikiba Kuhusu Mapenzi

September 14, 2018 at 07:21
Sabby Angel Akanusha Sifa za Wolper kwa Alikiba Kuhusu Mapenzi

Mara kwa mara Wolper amekuwa akikariri  na kusema kuwa moja ya wanaume ambao hatokaa  hawasau katika maisha yake ni msanii alikiba kwa sababu alikuwa na mapenzi ya kweli sana na aamekuwa akitafuta penzi kama hilo lakini amekosa.

Pamoja na kwamba aliwahi kupingana na kauli hiyo baada ya kusema kuwa Jux anaweza kuwa bora zaidi kwa sababu alikuwa ni mwanaume mwenye sifa ya utafutaji sana.

Loading...

Hata hivyo, mwanadada Sabby angel nae ameibuka na kusema kuwa alichokisema Wolper sio kweli kuhusu alikiba kwa sababu hakuna mwanaume ambae hakuwahi kufurahia mapenzi yake kama alikiba.

napinga maneno ya wolper katika mahusiano alikiba hakuweza kunifurahisha kama mimi mwanamke, mnafaa mjue kuwa kumridhisha mwanamke sio kitandani kunamengi anafaa kuyafanya kabla ya hayo ya kitandani,lakini pia ana mahitaji mengi sana ambayo nilishindwa kuyatimiza na ndio maana niliachana nae ikiwepo kuwekwa mpenzi wa siri, lakini pia alikiba hajui kupeto peti ninachomsifia ni kwamba ana HESHMA tu , hayo mengine No.

Share

Comments

  1. One man’s meat is another man’s poison…

  2. Just because hakukufurahisha haimaanishi mwenzako hafurahishwa naye

  3. Pambana na hali yako ya kuwa mpenzi wa kisiri

  4. Bana! Mtu ni mpango wa Kando lakini anataka benefits za bibi

  5. Hii bongo haiishi vituko

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…