Safari ya Wabongo Kwenye Birthday ya Tifaah Yazidi kuwa Ngumu, Zari Kupanga watakaohudhuria.

Limekuwa gumzo tangu Diamond atangaze swala la baadhi ya wabongo kwenda kwa madiba  kaika sherehe hiyo huku wengi wakimtaka wema kuachana na hiyo safari kwa sababu Zari hamtaki aende kule.

Hata hivyo baada ya diamod kutangaza kuwa anategemea wanakamati kumi walionandaa sherehe ya zamaradi kwenda afrika ya kusini kwa ajili ya kufanikisha pia birthda ya Tiffah,

download latest music    

Hata hivyo kwa maneno ya chini chini Zari hataki kabisa kuwaona watu hao nyumbani kwake ingawa kwa upande wa aunty alisema kuwa yeye ni moja ya wanafamilia kwaio hawezi kuacha kwenda hata kama Wema hatakiwi huko.

Baada ya hayo yote, moja ya watu wa karibu wa zari anaonyesha kabisa kupingwa  kwa safari ya watu hao kwa kusema kuwa wageni waalikwa wa sherehe hiyo watapangwa na mama mwenye nyumba ambae ni zari mwenye na kuamua nani ataenda na nani hataenda.

mwanadada huyo anaejulikana kama lady naa ameandika ‘ok ratiba iko hivi, mwezi wa nane kuna birthday ya tifa na mwezi wa tisa kuna birthday ya zari the bossy pamoja na white party  london, lady naa atasimamia mpango mzima wa london ila kwa birthday ya tifah south  itasimamiwa na Zari , namaansiha kuwa she will be your host , sasa basi hata list ya wale wakwenda south atapanga yeye, msijishauwe wengine mnaweza msikanyage south , let see and wait.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.