Said Fella Aweka Wazi Mshahara Anaolipwa na Diamond.

Meneja wa msanii mkubwa Duniani , Diamond platinumz ameweka wazi kiasi cha pesa anazolipwa na dimaond kila mwiso wa mwezi ikiwa kama msaahara wake kwa kusimamia biashara za msanii huyo zinazohusiana na muziki.

Said Fella anasema kuwa katika kuzalisha kwa pesa kutoka katima muziki wa Diamond, yeye hupokea asilimia 30 ya kila anachozalisha Diamond Platinumz kwa mwezi haijalisi hata kama diamond anazalisha milioni 800.

download latest music    

Mshahara wangu ni 30% ya pato analoingiza diamond kila mwezi kutokana na muziki wake haijalisi anaingiza shilingi ngapi hata kama anaingiza milioni 800 mimi nipo hapo kwenye 30.

Mkubwa Fella anasema kuwa ameamua kuweka wazi swala la mshahara wake kutokana na sera ya mheshimiwa raisi ya kuwa wazi kwa kila kitu kama unacho sema unacho na kama hauna sema hauna.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.