Seven Mosha Akanusha Taarifa za Kutoka Kimapenzi na Alikiba

Meneja wa Alikiba, Seven Mosha amefunguka na kusema kuwa kama yeye imekuwa nimara nyingi sana amekuwa akizusiwa kuwa anataoka na alikiba kmapezni kitu ambacho amekuwa akikizoea kwa siku hadi siku kwa sababu ni vigumu watu kuamini kuwa mwanaume na mwanamke wanaweza kufanya kazi katika mazingira yanayofanana bila kuwa na kitu kinachoendelea.

Hata hivyo seven mosha anasema kuwa amefurahi kwa sababu alikiba ameoa mwanamke anaempenda na aliyemchagua yeye mwenyewe, na kuhusu menejement yake ya rockstar nation wanapanga kufanya sherehe April 29.

download latest music    

Akiongea na azam tv katika kipindi cha sinema zetu ambayo ndio walikuwa wakihusika na kurusha matangazo hayo seven mosha anasema:-

Kama mwanamke ambae uanweza kufanya kazi na wanaume ni vigumu kwa jami yako inayokuzunguka kuamini kuwa unaweza kufanya kazi yako ki-proffesional.hicho ni kitu mabcho tunategemeaga katika entertainment na nini kwamba lazima kitatokea tu.

Sherehe imefana sana ameoa mwanamke aliyemchagua sisi tunampenda sana.Kuhusu menejiment tutafanya sherehe dar es salaam, tarehe 289 mwezi huu lakini sisemi bado itakuwa wapi.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.