Loading…

Shabiki Amtolea Povu Harmonize Kuacha Kumuiga Diamond

January 12, 2018 at 11:41
Shabiki Amtolea Povu Harmonize Kuacha Kumuiga Diamond

Moja ya mashabiki wa msanii Harmonize  amemuandikia msanii huyo barua ndefu na kumshauri jinsi ya kufanya ili aweze kukua kimuziki lakini sio kumuiga meneja wake Diamond kwa sababu kwa kufanya hivyo anakuwa anaua kazi zake za muziki.

Shabiki huyo anaesemekana kutokea Mombasa amemuomba  Harmonize aje na style tofauti na  kuacha kumuiga Diamond kwa sababu anawaboa mashabiki wake wengi.

Loading...

am from Kenya working in Dubai, shabiki mkubwa naharmonize lakini ananiboa sana anavyokuwa nafanya  kwa sttle zake za kumuiga diamond.naomba aje na style zake tofauti hata kama mond ni boss wake.

Shabiki huyo kutoka kenya hatokuwa shabiki wa kwanza kumtolea povu msanii harmonize kwa kile kinachodaiwa kuwa amekuwa akimuiga boss wake kuanzi akuvaa na hata mavazi wakati mwingine bila kujua kuwa mashabiki wao wanaowapenda wamekuwa wakiwafatilia na kuwashajua kuwa hawana tofauti.

hii inaua soko la muziki hasa kwa upande wao, hivyo  msanii anapaswa kuchuka ushauri huo na kyuona ni wapi alipokosea na panapaswa kurekebishwa.

Comments

  1. Abadilike bwana sio kuiga kila kitu

  2. Aiseh aboa sometimes,unashindwa vipi huyu msanii

  3. Watu wamemchoka sasa heri hata Harmorapa

  4. Huu ni ukweli abadilike

  5. Nimependa sana mtazamo wake

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment
Loading...

#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.