shilawadu Kuanza ndani ya DSTV

Kile kipindi pendwa cha burudani na umbea kilichokuwa kikiruka katika channel ya clouds tc sasa hivi kitaanza kurushwa katikamchannel 160 y DST kufuatiwa na watangazaji hao kupata mkataba wa kufanya kazi huko

Hii ni hatua kubwa kwa watangazaji wa vipindi vya umbea hasa shilawadu kwa sababu habari za mastaa na wasanii mbalimbali kwa sasa kitaanza kuonekana dunia nzima .

download latest music    

Kipindi icho ambcho kimekuwa na manufaa sana kwa ajamii kwa sasa kwa sababu licha ya kuwa kimekuwa kikiongelea mambo wanayofanya wasanii lakini kwa sasa akimekuwa kikigusa pia maswala mbalimabli ya jamii.

Kipindi icho kitaanza kurushwa siku ya ijumaa ya tarehe 14 december katika channel 160 ya DSTV.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.