Shiloleh Atoa Malalamiko kwa Vyombo vya Habari.

Mwanadada shiloleh amefunguka na kutupia malalamiko kwa baadhi ya vyombo vya habari ambavyo vimekuwa vikiwapa nafasi baadhi ya wasanii ambao hawana vipaji zaidi ya kuwa wanataka kujulikana na kuanza kufanya kazi za muziki lakini mwisho wa siku sanaa inawashinda na kujikuta wanaharibu kabisa maana ya muziki kwa kuharibu hata jina la muziki  wenyewe.

Shiloleh anasema kuwa watu wengi wamekuwa wakijipatia umaarufu kwa jina la sanaa kutoka na kupewa nafasi katika vyombo vya habari ambavyo  vimekuwa vikiwapa nafasi lakini kubwa zaidi ni kwamba hata pale wanapohariu wanakuwa wanaharibu jina la sanaa nahata brandi za wasanii wengine pia kwa sababu ya kiki zao.

download latest music    

kwakweli mimi naumia sana hasa ninapoona kuwa eti kuna video vixen wnaitwa maguli wakati waliwahi kuonekana katika video moja tu,wakati ukiangalia unakuta kuwa  hakuna hata kazi ya maana aliyowahi kuifanya  ya maana kwa jamii.naomba vyombo vya habari viangalie watu wa kuwapa nafasi ya umaarufu ili kulinda brand zetu.

Pia shiloleh anasema kuwa amekuwa akifanya mazoezi ili kuleta muonekano mpya lakini aliacha hapo katika kwa ajili ya shughuli zilizokuwa zikimbana sana siku za nyuma hata hivyo anaona kuwa kila kitu kinaweza kufanikiwa kama ataanza tena.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.