Loading...

Sijabadili Dini li Nioe wanawake Wengi :-Chaz Baba

December 06, 2018 at 09:53
Sijabadili Dini li Nioe wanawake Wengi :-Chaz Baba

Mwanamuziki wa miondoko ya dansi nchini Chaz Baba amefunguka na kukanusha taarifa kuwa sababu yake kubwa ya kubadili dini kutoka ukristo kwenda kuwa muislam ni kwa sababu ya kutaka kuoa mwanamke zaidi ya mmoja kama watu wanavyosema.

Akijibu swali hio, chaz baba alisema “sijabadili dini ili nipate fursa ya kuoa wanawake wengi, niebadili tu kwa sababu nimeamua kubadilisha dini basi

download latest music    

kwa upande mwingine , msanii huyo amewataka mashabiki zake kukaa mkao wa kula kwa sababu ana mpango  kuwapa burudani kali msimu huu wa sikukuu.

Share

Comments

  1. Hata kama ni mkristo mbona anaoa tu wanawake wengi kwani watakufanya nini

  2. Wakusema watasema tu

  3. Karibu kwa dini ya kweli

  4. ????

  5. Kama hali ni hiyo naona hata mimi nikibadilisha dini

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…