Sijaonana na Lulu Tangu Atoke Jela.-Hamisa

Mwanadada mwanamitindo anaetamba sana sasa katika mitandao ya kijamii, hamisa mobeto amefunguka na kusema kuwa pamoja na kwamba hawajapata bahati ya kuonana na Lulu michael lakini kumekuwa na mawasiliano ya chini kwa chini kutokana na ukaribu wa mtoto wake wa kike na familia ya lulu kutokana na baba wa mtoto huyo.

Hamisa anasema kuwa amekuwa akiulizia kuhusu Lulu na anaambiwa kuwa yuko vizuro na kwa upande wak hana shidan kukaa na lulu na kuongea nae kwa sababu ni mwana mke amba amegusa sana maisha yake  kupitia malezi ya mtoto wake.

download latest music    

sijaonana na lulu tangu ametoka gerezani lakini kwa mtu ambae ametoka katika hayo matatizo kidogo anakuwa sawa kujiweka mbali na social media , lakini mara  nyingi siku za wikiendi mwanangu amekuwa akienda pale nyumbani kwao kwa sababu ya baba yake.

I think she is fine kwa sababu hata ukiulizia unaambiwa kuwa yuko fine, kwa sababu hata hapo before hatukuwa  na ukaribu sana , lakini natamani kukaa nae tukazungumza kwa sababu ni mtu ambae yuko katika maisha yangu kwa namna moja au nyingine.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.