Sijapata Mwanaume wa Kunitosheleza Bado :-rosa re.

Rapa wa kike nchini Rosa ree anasema kuwa kwa sasa hataki kabisa kujihusisha na mahusano ya aina yoyote kwa sababu anaona kabisa kuwa tangu aanze kuwa katika mahusiano hajapata mwanaume wa kumtoshleza wala kumpa changamoto bado.

Rosa ree anasema kuwa ni kweli kuwa kwa sasa amekuwa na ndoto za kuja kuolewa baadae lakini hiihaimfanyiatamani kuwa katika mahusiano kwa sasa kwa sababu aliwahi kuumizwa sana na mapenzi hapo awali hivyo ilimfanya kuvunjika moyo.

download latest music    

Sio kwamba sijawahi kuwa katika mahusiano , nilshawahi kuumizwa sana na ndio maana hata sasa nimeamua kukaa pembeni katika maswala hayo, kikubwa ni kwamba sijapata bado mwanaume anaeweza kunichallenge kifupi mwanaume ambae anaweza kuwa kidume , akanitihs ampaka nikasema hapa kweli nimepata kidume.

Sio kwamba wanitishe basi wanipige, hapana lakini awe na ile vission na intelligence kwa sababu nimetembea sehemu nyingi na kuona kabisa mwanaume  huyu hajielewei kabisa.

Hata hivyo Rosa ree anakiri kuwa watu wengi wamekuwa wakijudge sana muonekano wake na kuona kama vile haweiz kujihusisha na mahusaino kitu ambacho sio kweli kwa sababu hata yeye ni mwanamke.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.