Loading...

Simba ni Zaidi ya Ay na Diamond :-Hajis Manara

January 09, 2019 at 07:32
Simba ni Zaidi ya Ay na Diamond :-Hajis Manara

Msemaji mkuu wa timu ya Simba fc  hajis manara amefunguka na kusema kuwa kwa sasa tiu kubwa na pendwa ya simu imekuwa na mashabiki wengi kuliko hata vile watu wanavyofikiria nafasi za wasanii tanzaia.

Hajis Manara anasema kuwa timu hiyo ina mashabiki wengi sana hasa wanaoipenda kwa damu kabisa kiasi kwamba hata ukilinganisha na idadi ya mashabiki wa baadhi ya wasanii hawawezi kufikia hapo.

download latest music    

Akitolea mfano wa wasanii wakubwa na wanaopendwa sana na mashabiki, hajis mananra anasema kuwa mashabiki wa simba ni wengi na wamekuwa wakijaza ukumbi kulika hata mashabiki wa manii YA  na DIAMOND PLATINUMZ, kitu ambacho kinathibitisha ubora wake.

Share

Comments

  1. Kwahivyo sasa

  2. ofcourse sioni jambo la kushangaza hapo

  3. wala hujadanganya

  4. Nazani ninkwasababu football huleta watu pamoja

  5. hmmMmm

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…