Sio Kila Mwanamke Anaejiuza Anapenda :-Gigy money

Mwanadada Gigy moey amefunguka na kuelezea kwa undani historia ya maisha yake mab ayo kwa muda sasa ahajwahi kuiongeoea tangu alipowahi kuongea kiundani miaka ya nyuma katika kipindi cha zamaradi.

Gigy money ambae kila siku amekuwa aisistiza kuwa  katika maisha yake ya ukuaji amepitia maisha magumu na hata kufikia hatua ya kufanya mambo machafu ili kupata pesa kwa ajili ya kujikimu kimaisha.

download latest music    

Hata hivyo Gigy money anasema kuwa kuna watu wamekuwa wakiona wanawake wakijiuza mitaani na kuwasemaviabya bila kujua kuwa ni kitu gani kinawakumbuaka katika maisha, akiongea na Milard Ayo  Gigy money anasema kuwa sio kila anaejiuza basi anapenda.

sio kila mwanamke anajiuza barabari basi anapenda, kuna watu wako barabarani millard  ni wife materila kabisa lakini ukiongea nae ndio unaweza kujua sababu ya yeye kuwa hapo, yuko hapo kwa njaa tu na wala sio kwamba anawashwa kiasi kwamba haweiz kulala bila kula***

ukiachana na maisha magumu aliyowahi kuyapitai mwanadada huyo, Gigy Money sasa ni  moja ya wasanii wanaofanya vizuri na wametumia nguvu nyingi kutengeneza jina lake na amefanikiwa kwa kiais kikubwa.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.