Loading...

Sipendi Kusifiwa :-Queen Darleen

December 06, 2018 at 08:55
Sipendi Kusifiwa :-Queen Darleen

Watu wengi wanapenda kupokea sifa hasa pale wanapoonekna kupendeza hasa pale wanapokuwa wamevaa vizuri na kupendeza lakini kumbe hii iko tofauti kwa baadhi ya watu mmoja wapo akiwa ni Queen Darlen ambae yeye anasema kuwa hapendisana kusifiwa .

Queen Darlen anataka kuwa tofauti kabisa na watu wegine kutokana na msimamo wake huo huku akisema kuwa hapendie kabisa kusifiwa na amekuwa akichukia sana anpokuata na maoni ya kusifiwa katika ukurasa wake wa instagram.

Loading...

mimi nachukia sana ninapona mtu ananisifia eti kwamba nimependeza, kwa sababu unaweza kukuta umependeza lakii mtu anakwambia ujapendeza au haujapendeza mtu anakwambia umependeza,  na mtu akiniambia isjapendeza nasikia raha hivyo hivyo , maana watu wa instagram wanafurahisha sana,

Kwa kutiia mkazo kabisa Queen darlen anasema kuwa yeye bado ni bikra.

Share

Comments

  1. “watu wa instagram wanafurahisha sana” hujadanganya

  2. Wewe mwenyewe wachekesha sana

  3. Njoo nikuvunje huo ubikra unaopenda kusema sema

  4. Bikra wa **** labda

  5. Ndio maana nakupenda bure yaani. Mwanamke anaejielewa…

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…