Sister Fey Apata Mkataba Mpya Nchini Kenya

Mwanadada Sister Fey ambae kwa sasa anauguliwa na maumivu ya kuachwa kwa talaka tatu na aliyekuwa mme wake Holy star , anapata faraja ya kufutwa machozi ya uchungu huo baada ya kupata shavu la kusaini mkataba na kampuni moja ya muziki  nchini Kenya inayojulikana kama Top star entertainment.

Mwanadada huyo ambae amekuwa katika game kwa muda mrefu lakini kwa sasa alikuwa kimya kimuziki na kujulikana sana kwa kiki hasa baada ya kujiingiza  katika mahusino ya kimapenzi na kijana mdogo  anategemewa kufanya vizuri katika muziki kwa sasa kwa sababu ya uongozi huo kuonekana imara a makini katika kazi.

download latest music    

Sister Fey  na holy star walifunga ndoa mwaka jana na kuachana mwaka huu kwa tuhuma za mwanamke kuwa akirudi usiku nyumban , tabia iliyomshinda mwanaume.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.