Loading...

Staa wa Kibongo Linah kaonyesha mimba yake kwa hii picha inayozingua wengi kwenye mitandao

April 25, 2017 at 17:10
Linah
Loading...

Staa Linah anakaribia kujifungua hivi karibuni na kwa hivo watu wengine wale amefanya photo shoot ya mimba.

Msanii huyo ambaye alizinduliwa na Tanzania House of Talent(THT) ni mojawapo ya wasanii wa kike Tanzania ambao wana umaarufu sana wakati huu.

Loading...

Anafanya kazi na management moja ya South Africa ambayo inajulikana kama No Fake Zone ambayo inamtolea muziki na kudistibute Africa mzima.

Picha hii yake aliyozindua kwenye mtandao wa instagram inawazingua wengi:

 

I would rather stand with GOD and be judged by the world ? than stand with the world ? and be judged by GOD.

A post shared by Linah Sanga (@officiallinah) on

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Music

Loading…