Loading...

Steve Achukizwa na Utani wa Joti

February 11, 2019 at 08:45
Steve Achukizwa na Utani wa Joti

Baada ya mitandao kuongelea sana swala la kauli ya Steve Nyerere zidi ya oomy na hata ommy kutoa wimbo mpya amabao ulifanywa watu waamini kuwa sasa yuko fit, msanii wa maigizo ya vichekesho nchini Joti alitoa  pia video yake ya ucheshi ikionyesha kile alichokiimba ommy dimpzo kuhusu kumshukuru mungu kwa zawadi ya uhai hata baada ya kupitia katika kipindi kigumu cha ugunjwa.

Mwanamaigizo huyo aliweka video hiyo katika ukurasa wake wa instagram na kisha kuweka caption ambayo kidogo iliuwa kama imemkwaza sana stev nyerere kwa sababu yeye ndio aliyesema kuwa ommy hatoimba tena.

Loading...

jamani, mbona ommy dimpzo kaimba alieyesema hatoimba nani

Share

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *


in Entertainment

Loading…