Steve Nyerere Amshtaki Dudu Baya kwa Kumsema Vibaya Ruge

Msanii wa bongo movies Steve nyerere ameshindw kuvumlia kile kinachoendelea katika mitandao hasa baada ya taifa kukumbwa na mziba mzito wa mkurugenzi wa clouds media , bwana Ruge mutahaba huku msanii dudubaya akikaejeli kifo chake.

Dudu baya ambae alianza tangu awali kupinga kampeni za kumsaidia Ruge kwa ajili ya pesa za matibabu , amekuwa akiongea maneno ya kuvunja moyo kwa watu hasa wanaombeleza kwa sasa kutokana na msiba huo.

download latest music    

Hata hivyo steve nyerere ameomba mamlaka husika hasa waziri wa sanaa na michezo kuliangalia swala hili kwa ukaribu na kumnyamizisha mtu huyo kwa sababu hiki ni kipindi kigumu sana kwa familia ya marehemu na watu wake wa karibu.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.