Steve Nyerere Kuitafuta Dhamana ya Soudy na Maua.

Msanii ambae mara nyingi amekuwa kama kiongzoi kwa wengine steve nyerere amefunguka na kuwaombea huruma wasanii maua sama na soudy mbrown kutokana na kukamatwa kwao ambapo leo ni kama siku ya nne tangu kukamatwa kwao huku wakioenekana hakuna dalili yoyote ya kuonekana kuachiwa wala baaadhi ya wasanii kuonekana kujali mazingira waliopo wenzao.

steve anasema kuwa pamoja na kwamba wamekosa na kweli kosa limeonekana lakini amewaombea dhamana na msamaha wasanii hao hukua kaisema kuwa kama inawezekana kuachiwa kisha kuja kuomba msamaha kwa wananchi hadaharani kwa kosa lao.

download latest music    

Steve nyerere anasema kuwa swala la wasanii hawa kukamatwa watu wengine wamlichukulia kisiasa laki i kwa ujamla hilo ni tatizo ambalo linaweza kumuumiza mtu yoyote na kwa namna yoyote ile hivyo ni lazima kila mtu agusw pia.

Hata hivyo Steve anasema kuwa kosa walilofanya ni kubwa kwa sababu mwisho wa siku hilo nikosa ambalo kila mmoja linaweza kumgusa kwa nafasi yake.

Steve nyerere anasema kuwa kwa namna moja ama nyingine hakuna mtu aliyechini ya sheria lakini kwa muda walikaa huko wanaweza kujifunza kitu hivyo anawaombea dhamana ya kosa lao.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.