Tiffah Atajwa Kuwakalisha Chini Watoto wa Mastaa Duniani

WAKATI baadhi ya wasanii wakubwa tu Bongo wakishindwa kufikisha wafuasi laki tano katika Mtandao wa Instagram, mtoto wa staa wa Bongo Fleva, Diamond Platnumz, Tiffah ameendelea kuwakimbiza watoto wa mastaa wakubwa Marekani.
Miongoni mwa watoto hao ni pamoja na mtoto wa mwanamitindo kutoka Marekani, Kim Kardashian na mumewe Kanye West:

North West (north. west_) ana miaka mitano, wafuasi 278,000., Saint West (itssaintwest) mwenye umri wa miaka miwili, ana wafuasi 56,000.,Chicago West (chicago. west_) mwenye miezi minne, ana wafuasi 41,000 na ushee.,Mbali na watoto hao wa Kim na Kanye, watoto wengine wanao-kimbi-zwa na Zari ni pam-oja na, Royalty Brown wa mwanamuziki Chris Brown (missroya-ltybrown) mwenye wafuasi 213,000

Watoto wa Beyonce;Blue Ivy (blueivy. carter) mwenye miaka sita, ana wafuasi 145,000.

Mtoto wa Wiz Khalifa;Sebastian Taylor Thomas (sebastian. taylor) mwenye umri wa miaka mitano, ana wafausi 6,477

Mjukuu Wangu Tiffah Hana Gundu-Mama Diamond

Mama wa msanii mkubwa Tanzania Mama Dangote amefunguka na kusema kuwa mjukuwa wake wa kiek ambae Diamond alimpata akiwa na mwana mama wa kiganda zari ni mtoto mwenye bahati kama alivyo baba yake .Mama dangote anasema kuwa hata kitokee nini kwa mtoto huyo lakini nyota yake ya u -star iko pale pale na hakuna kinachoweza kukwamisha hilo,

Maneno ya mama huyo yanakuja baada ya kusambaa kwa taarifa katika mitandao ya kijamii kuwa mtoto wa Diamond ndio mtoto wa pekee wa msanii anafuatwa na wati wengi zaidi  huku namba hiyo ikisemekana kuwa ndio afrika nzima yeye anaongoza .Tiffah anasemekana kufikia ukaribu wa umaarufu wa mtoto wa rapper  mkubwa duniani DJ Khalled.

katika ukurasa wake wa instagram,mama dangote aliandika “Tiffah wewe ni star kweli naona umefuata nyota ya baba yako,maana usuke usisuke , hata nyweke zinyinyoke  au zipunyuke unabaki na ustar wako tu , mungu akubariki ukue vema na kubaki na ustaa wako  na zaidi ya hapo toto yake simba, inshallah , tabu unawapa lakini kuna wengine unawakonga nyoyo zao. kwa kifupi wewe ni MAJI , hivi kuna mtoto mwingine huko mnamjua nyie. #HANAGUNDU

 

 

Zari abadilisha jina la mtoto wake wa kike Tiffah

Kifungua mimba wa Diamond amebadilishwa jina na kupewa jina la mamake, Zari alidhibitisha haya kwenye mtandao wa Instagram.

Mtoto wa kike wa Diamond anajulikana kama Tiffah Dangote, jina hilo la pili ni ya babake ambaye alijibandika ‘Dangote’ kwasababu ya mafanikio yake kimuziki.

Hata hivyo Zari aliwajulisha watu kwa Tiffah sasa anaitwa Tiffah Hassan na sio Tiffah Dangote. Alisema hayo kwenye comment section kwa Instagram baada ya mtu kuita mtoto wake Tiffah Dangote.

Hatua ya Zari kubadilisha mwanawe jina umezua uvumi kuwa Zari amekosana na Diamond ndo sababu aliamua kutoa jina la Diamond (Dangote) na kumpa jina yake (jina Hassan).

Wambeya wanasema kuwa Diamond na Zari walikosana kwasababu Simba hajaenda kumwona mama mkwe wake ambaye alilazwa hospitalini huko Afrika Kusini. Na mbaka sasa Diamond hajamtumia mama mkwe wake salamu za heri.

 

 

Tiffah Dangote amependeza zaidi na mavazi ya kiume ya kakake Nillan?

Mtoto wa kwanza wa Diamond Platnumz, Tiffah Dangote, wikendi hii aliwafurahisha wengi alipovalia nguo za mdogo wake, Nillan na kuposti picha kuwaonyesha mashibiki wake.

Kupitia mtandao wa Instagram, mamake Tiffah aliposti picha za Tiffah akiwa amevalia mavazi ya kiume na kwenye caption akaandika alikuwa ameazima nguo za Nillan alizozivaa wakati wa #40 photoshoot.

Rocking @princenillan shirt and hat from his #40 photoshoot. Everything from #BABYSHOP

Mashabiki wengi walimpongeza mtoto huyu kwa fashion sense yake huku wakisema kuwa amependeza sana na nguo hizi. Tiffah Dangote ambaye atafikisha miaka miwili mwezi wa Agosti ameonekana kuwa mtoto ambaye anataste nzuri ya mavazi na inaweza kuwa mamake, Zari Hassan, ndiye anayemfunza mtot huyu kuwa a fashion icon wa watoto maarufu Tanzania.

Kwenye picha hizi mpya, Tee pia amaonekana pia kufanana na baba yake sana. Angalia picha za Tee kama amevalia nguo za mdogo wake hapa.

Tiffah's tomboy look
Tiffah’s tomboy look
Tiffah apendeza na mavazi yake ya tomboy
Tiffah apendeza na mavazi yake ya tomboy