Tanasha Akubali Kuhamia Tanzania Lakini Sio Kubadili Dini.

Mwanadada tanasha dona amefungua alipokuwa akijibu  baadhi ya maoni kutoka kwa mashabiki katika ukurasa wake wa instagram na kusema kuwa kutokana na mipango ya ndoa inayofuata hawezi kukataa kuhamia tanzania kwa sababu kwake kwa sasa ni second home.

TanAsha amabe ana mahusiano ya kimapenzi na msanii diamond platinumz wanatarajia kufunga ndoa mwaka huu muda wowote ingawa ndoa iyo ilikuwa ifungwe febrary 14 lakii ilikuja kuhairishwa na haijatangazwa ni line ten itafungwa.

download latest music    

Hata hivyo, wawili hao wanaonekana kuwa makini na mahusiano yao hata kutambulishana kwa familia zao.

Hata hivyo pamoja na yote, tanasha ni mkriesto huku mwanamuziki diamond platinumz akiwa ni muislamu swafi , swali ambalo wengi wamekuwa wakifikiria uwezekano wa wawili hao kuwa pamoja, hata hivyo tanasha anasema kuwa kuhamia tanzania kwake haiwezi kuwa shida na kwa swala la dini hawezi kubadili.

Tanasha anasema kuwa kila dini imekuwa ikumuamini mungu mmoja hivyo hakuna haja ya kubadili dini zaidi ya kila mmoja kuheshimu dini ya mwingine.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.