Tanzania Kuibuka Kidedea Miss Albinism Afrika 2018

Katika kutaa kuonyesha msisitizo juu ya kunyanyapaa watu wenye ulemavu wa ngozi na pia kuuwawa kwao, watu wenye ulemavu wa ngozi maarufu kama albino walikuja na shindano lao la kutafuta mr ,a mrs albinims afrika amshariki ambap mr ametwaa jtaji ili kutokea Tanzania.

Shindano hilo liliofanyika Kenya, lilikuwa na lengo la kuwakutanisha watu wenye matatizo hayo  na kuaweka amoja , lakini ia kuionyesha jamii kuwa hata wao pia wanaweza kufanya yale wanayoweza kufanya wengine.

download latest music    

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.