Loading...

Tanzania ma-role Model ni Alikiba na Diamond, Hatuwei Kuwa na Taifa Lenye Uchumi Imara:-Eng.Barozi

June 13, 2018 at 12:02
Tanzania ma-role Model ni Alikiba na Diamond, Hatuwei Kuwa na Taifa Lenye Uchumi Imara:-Eng.Barozi

Mwenyekiti wa bodi ya usajili wa waandishi Tanzania,Eng. Barozi  amewataka waandisi kufanya kazi kwa uadilifu na weledi wa kazi  ili kukuza uchumi wa tanzania na kuwaanda vijana wengine wataokuja kufanya kazi kama walivyokuwa wakifanya wao kwa kuwarithisha vijana uadilifu kazini.

Akiongea katika mkutano wa 50 wa waandisi Tanzania , Barozi anasema kuwa bado kuna kazi kubwa ya kutengeneza uchumi wa taifa kwa kutengeneza watendaji wenye kupenda kazi”bado kuna kazi kubwa ya kuwaendeleza wanafuzni kuja kutamani kufanya tunachofanya kwa uadilifu, na hii ni kuwasaidia wale waliopo shuleni na vyuoni.”

Loading...

Tumepita katika mashule na ukiwauliza watoto wanakwambai role model wako wanakwambia Alikiba n Diamond , hatuwezi kuwa na uchumi uliokoma kama hatutakuwa na waandisi  bora.

Leave a Reply

avatar

in Entertainment

Loading…

#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.