Tunda , Young Dee Wamaliza Bifu Lao

Msani wa muziki Young dee na mwanadada Tunda wameonekana kuwa pamoja kwa siku ya kwanza katika mitandao ya kijamii kwa kuweka picha yao ya pamoja waliokuwa kwenye gari huku wawili hao wakiwa hawategemewa kuwa pamoja .

Young dee na tunda waliwahi kuwa maadui sana kwa kipindi kirefu baada ya wawili hao kushindwa kuwa pamoja kimapenzi na kugombana hivyo kila mmoja kufanya ustaarabu wake huku wakirushiana maneno ya chinichini.

download latest music    

Hata hivyo Tunda na Young dee kuwepo pamoja kunaweza kuashiria urudi kwa mahusiano yao kwa sasa.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.