Ujio Mpya wa Casto Baada ya Kupotea Mtandaoni Baada ya Msiba.

Ni kama wiki sasa inakatika tangu kutokee kwa msiba wa mtoto wa msanii Muna love, msiba ambao ilizua tafrani baada ya maiti kugombaniwa na baba na mama baada ya mama kutamkia kuwa baba wa mtoto wa marehemu ni Casto na sio Peter,

Hata hivyo kipindi hicho chote casto hakutaka kuongea chochote kuhusu swala hilowala kutaka kuzaungumzia kitu chochcote kuhusus swala hilo, hata hivyo mashabiki wake walikuwa wakimpa msukumo sana kuongea chchote kuhusu swala hilo lakini hakutaka kujibu chochote.

download latest music    

Baada ya ukimya huo wa muda mrefu, kwa mara ya kwanza Casto ameweka picha katika ukurasa wake wa instgram akiwa ameinamisha kichwa chini  huku akiwa hajaandika chochote kuhusu picha hiyo wala hakutaka kujibu maoni yoyote katika ukurasa wake.

Baadhi ya mshabiki zake wamemtaka kuongea kitu chochote kuhusu swala hilo ili kuwaweka wazi nini hisia zake kuhusu hilo lakini Casto haonekanai kujali hisia hizo kwa sababu hata za kwake pia hakutaka kushare na mashabiki.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.