Ujumbe Wa Roma Baada Ya Stamina Kutangaza Ndoa

Baada ya msanii wa bongo fleva Stamina wikiend iliyopita kuonekana akiwa na nia ya kuoa baada ya kumvalisha mwanamke aliyekuwa nae katika mahusiano na kutangaza ndoa,baadhi ya wasanii wameibuka na kumpongeza msaini huyo na kumtakia mame katika safari hiyo mpya ya maisha anayotaka kuianza katika maisha yake.

Moja ya watu wa karibu wa Stamina msanii Roma ambae wanaunda kundi moja ya Rostam na wamekuwa wakifanya vizuri pamoja katika kazi za muziki amefunguka na kumpa pongezi msanii mwenzake huyo lakini pia kumuonya kuacha tabia za watu wengi ambao huwa wanafikia hatua hadi ya kuvalishana pete ya uchumba na baada ya hapo kumuacha.

download latest music    

katika ukursa wake wa instagrama Roma aliandiaka

congratulation my brother,… on your engagement.am so proud of you son.sasa umuoe sio uishie kwenye pete tu……….nisaidien kumuwish mdogo wangu marafiki.

Stamina  atakuwa ni  moja ya wasanii waachache kwa mwaka huu  walioamua kuondokana na ukapela kabla ya mwaka haujaisha na kuamua kuvuta jiko ili kutimiza ndoto zake.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.