Uzito wa Msiba wa Emma ni Mdogo Kwa Sababu Hakuna Thamani ya Dancers Tanzania:-Muki

Msanii na muziki wa dance nchini, muki amefunguka kuhusu ushurikiano wa wasanii katika msiba wa aliywahi kuwa dancer katika show za wasanii mbalimbali ambae pia ametokea katika video ningi za wwasanii mbalimbali.

Muki anasema kuwa wasanii waliojitokeza ni wachache sana akiwemo alikiba lakini anaomba wasanii kujitokeza kwa hili ili kumsindikiza emma katika safari yake ya mwisho kwa amani kwa sababu hata yeye alipokuwa hai alikuwa akijituma kufanya kazi zao kwa moyo.

download latest music    

Sio vizuri sana kwa sababu mimi nimekuja hapa nikaulizia kwani wasanii wenzanng wako wapi nikaambiwa wengine hawajaja kabisa kwa sababu nilikuja nikakuta michango na mahitaji havitoshi kwaio nikawauliza umempigia flani labda au flani wanajibu haaa huyo hatuwezi kumpigia maana alikuwa mzito tangu mwanzo.

lnilichelewa kupata taarifa lakini bado nilikuja , kuanwatu wamekuja kama alikiba na wengine ila wengine ambao hawajaja siwezi kuwataja, ila pia naona kabisa uzito wa msiba umekuwa mdogo kwa sababu hakuna thamani ya Dancers Tanzania 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.