Vanessa Kuweka Mipango Ya Ndoa na Jux Pembeni

Staa wa Muziki wa Bongo fleva Vanessa Mdee ‘Vee Money’ amefunguka kuhusu Mahusiano Yake na Msanii mwenzake Juma Jux.

Vanessa na Jux wamekuwa Kwenye Mahusiano ya Kimapenzi kwa miaka zaidi ya mitano lakini Vanessa amesisitiza kuwa hana haraka ya kuingia kwenye ndoa na mpenzi wake huyo.

download latest music    
.

Kwenye mahojiano na Kipindi cha Shilawadu cha Clouds Tv, Vee Money amesema hayo baada ya kuhojiwa kuhsuu mipango ya ndo n Jux ambapo ameweka wazi hivi sasa anafurahia Mahusiano Yake na Jux.

Vanessa na Jux wamekuwa Kwenye headlines kwa ajili ya Tour yao ya ‘In Love and Money’ ambayo imevunja rekodi kwa kuwa Tour ya kwanza kufanya na wasanii wawili ambao ni wapenzi na Kujaza mashabiki.

 

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.