Vannesa Awatolea Povu Trace Music

Mwanadada Vannesa Mdee amefunguka na kusema kuwa kituo cha televisheni cha  Trace Music nchini kenya kimekuwa na upendeleo wa  kuchagua kuwasapoti badhi ya wasani wakubwa tu na kuwaacha wengine wakiwa wanalanda landa.

Haijafamika kwanini vanesa ameamua kusema hivyo au kua nini ameona kwa wasanii na kituo icho mpaka amefikia hatua ya kusema hivyo.

download latest music    

Kupitia ukurasa wake wa twitter, Vannesa Mdee aliongea maneno haya ” wacha tu nisme kuwa tracemuziki imekuwa station flani ya muziki yenye upendeleo,  kwa wasani kadhaa wa muziki wa muda mrefu.kuna ule upendeleo ya kuficha na kuna ule wa live bila  chenga.

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.