Vera Aanika siri ya Kuachana na Otile, Asema Alikuwa Akimtumia Kupata Pesa

Mwanadad Vera Sidika kutoka Kenya ameona kuwa yamemfika shingoni na kushindwa kuongea hivyo amena ni jambo la muhimu kchukua tahadhari mapema kwa kuweza wazi mambo yaliyokuwa yakiendelea katika mahusiano yao hata baada ya kugombana na kurudiana tena.

Vera anasema kuwa baada ya kurudiana tena kuna kitu alikiona kwa Otile na ndio alipoamua kuchukua tahadhari ya kumchunguza na kugundua kuwa otile alikuwa amekuja kimslahi zaidi na hata kusave majina ya ajabu kwenye simu yake.

download latest music    

Vera anasema kuwa amekuwa na ushahidi wa muda mrefu wa Otile kuwa amekuwa akitumia wanawake kuapata pesa na jina na ndio maana hata alitaka kuwa na yeye kwa ajili ya swala hilo hilo.

katika ukurasa wake alindika swala hilo kwa kusema kuwa otile hakuwa na mapenzi ya kweli na yeye.

as much as we love deep, women do find it at turn off when man keeps asking for money , regularly , from week two of dating , claiming he  will refund and never did, i have never ever once in my life  asking him rof any  money .this time it happened two days  after reconciliation and it ended  up looking like it isi the only reasons he came back was for the money.because  when i said i didn’t have  500k he went mute for a week and the next  time i saw him he claiming the relationship ain’t work . i refussed to be used financially or for fame., if the person walks away coz u didn’t give him money ..its more like good riddance

Hata hivyo otile amekanusha madai ya kutaka kupewa pesa hizo bure na kusema kuwa alitaka kukopeshwa.

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.