Vera Sidika Aanika Mambo Ya Chumbani Waliyofanya na Ex Wake Otile Brown

Socualite na msanii wa muziki kutoka Kenya Vera Sidika ‘Queen Vee’ ameingia kwenye headlines tena na Ex boyfriend wake Msanii Otile Brown Baada ya kuanika mambo yao nyeti ya chumbani.

Sakata hilo lilitokea mwanzoni mwa Wiki hii Baada ya Vera na Otile walioachana mwezi uliopita kutibuana tena kwenye social media ambapo Brown alimtuhumu Vera kwa kupenda sana ngono walipokuwa kwenye mahusiano yao.

download latest music    

Baada ya tuhuma hizo Vera alimjia juu Otile na kumtuhumu kuwa hajui mapenzi na kipindi cha mahusiano yao alikuwa hata hamridhishi walipokuwa kitandani.

Kwenye ukurasa wake a instagram kupitia Instastory Vera aliaanika screenshoot zote za meseji zao walizokuwa wanachat ambapo alimlalamikia kutomridhisha na baadhi ya chats kusomeka:

Nakwambia sipendi kufanya mapenzi mara kwa mara, mimi napendelea Romance unitomase kifuani na kuninyonya shingoni na sehemu nyeti. Kiukweli napenda romance kuliko kufanya mapenzi mara kwa mara kwani nakosa hisia unaniumiza, unaponiingilia bila kuniandaa”.

Lakini pia Vera kwenye screenshot hizo, kuna sehemu anamwambia Otile kuwa, yeye huwa haangalii ukubwa wa maumbile ya mwanaume bali anaangalia performance kitandani, kwani kuna watu wamejaliwa maumbile makubwa ila kitandani Zero.

.
.
.

About this writer:

Diana

I am a hard working young woman Aspiring writer with dreams larger than life itself, always living by the principle that live today like there is no tomorrow.