Vitu vya Kuzingatia Kabla ya Kwenda Kulala.

Kuna mambo tumekuwa tukiyafanya na kuona kama hayana madhara yoyote lakini ukweli ni kwamba kdri tabia hizo zinavyojirudia ndipo unakuja kugundua madhara yake baadae sana.Baadhi ya vitu ambavyo vipo katika maisha ya kila siku na watu wamekuwa wakijisahau kuyaepuka kabla ya kwenda kulala ni pamoja na  ;-

EPUKA KULALA NA MAKE-UP

download latest music    

wadada weng wamekuwa wakijisahau wanapotoka katika miznguko yao wanapata uvivu wa kusafisha uso ilihali uso unakuwa tayari umefanyiwa make-up na kuwekwa vipodozi, hii ni hatari kwa afya ya ngozi kwa sababu unapokwenda kulala mwili unatakiwa kupumzika hivyo  make-up uankuwa imeziba vitundo vidogo vya hewa vinavyoapatikana usoni.

USILALE UMEVAA SIDIRIA.

Tunasema kuwa hizi ni tabia mabazo zimekuwa za kawaida kwa maisha ya watu na kuona kama hakuna mdhara yoyote lakini yapo, wanawake wanaovaa sidiria wakati wa kulala wapo katika hatari kubwa ya kupata saratani ya matiti.

EPUKA KULALA NA SIMU KARIBU YAKO.

Wanasayansi wanasema kuwa kionzi ya simu ni hatari sana wa afya ya ubongo ya mwanadamu ingawa wengi wetu tumekuwa na tabia ya kuweka simu karibu na kivchwa kabisa wakati wa kulala, unashauri kuzima simu yako na kuaa nayo pembeni kutoka na usalama wa afya yako.

USILALE NA SAA UKIWA UMEVAA MKONONI.

Wanasayansi wanashauri kujitahidi kukumbuka kuuweka mwili wako kuwa na uhuru wakati wa kulaa, kitu chochote chenye kuufanya mwili wako kujihisi umebanwa sio kizuri, saa ya mkononi pia inaweza kuleta madhara sana  kama utazoea kulala nayo.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.