Wakazi Aelezea Mahusiano Yake na Marehemu Godzilla Kabla ya mauti.

Msanii Wakazi amefunguka na kuelezea mahusiano yake kabla ya kifo cha mwanamuziki Godzilla ambae alionekana kuwa na tofauti nae hapo kipindi cha nyuma.

Wakazi anasema kuwa pamoja na kwamba walikuwa wakipishana katika itikadi za kimuziki lakini ameshukuru mungu kuwa kabla mauti kumfika tayari walikuwa wamemaliza tofauti zao na kufikia hatua nzuri ya kuwa karibu kam wasanii.

download latest music    

Bado wakazi anajali na kutambua mchango mkubwa wa Godzilla katika muziki kiais kwamba anona ni pengo kubwa sana limepotea kwa msanii huyo.

https://www.instagram.com/p/Btz10DbBhNE/

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.