Watanzania Wanaogopwa Mitandaoni kwa Matusi :-Lucy Komba

Mwanadada Lucy Komba amefunguka na kusema kuwa amekuwa akishangaa sana watu wa tanzania kwa kutumia mitandao ya kijamii kutukana matusi badala ya  kufanya vitu vya maana  na vinavyoweza kujenga jamii yao.

Lucy komba  anasema kuwa ameshakuwa na marafiki wengi ambao wamekuwa wakisema kuwa wamekuwa wakiogapa sana kuingiliana na watanzania katika mitandao kwa sababu watanzania wana matusi sana.

download latest music    

Tanzania ni nchi pekee duniani wanaotumia mitandao ya kijamii kukosoa , kutukana, kuibisha na kukashifu watu , watu wa nchi jirani wamekuwa wakitucheka sana tunavyokuwa tunadhalilishana,….inafikia wakati watanzania tunaogopwa, kuna watu wanakwambia mhhh watanzania nawaogopsa sana kwa matusi.Wenye akili wananielewa.

 

 

About this writer:

Expedicto Lilian

#Godseeker, I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.