Wema Atuma Salamu kwa Mange Baada ya Anil kimambi Kukutana na Makonda.

April 16, 2018 at 14:50
Wema Atuma Salamu kwa Mange Baada ya Anil kimambi Kukutana na Makonda.

Mwanadada Wema Sepetu ametuma salamu kwa Mange Kimambi mwanadada anaefanya ushawishi mkubwa katika mtandao wa instagram katika siasa na maswala mbalimbali ya kijamii baada ya kaka yake na mwanadada huyo kukutana na Mh Paul Makonda wikiend iliyopita.

Mange Kimambi na Wema walikuwa marafiki wakubwa huku Mange kila siku akisema kuwa yeye ndie aliweza kumuingiza wema katika tasnia ya urembo lakini uadui wao ulikuja baada ya Wema kuanza kutangatanga katika maswala ya siasa huku Wema akimtuhumu Wange kwa kumuibia akaunt yake ya instagram.

Loading...

Hata hivyo kaka wa Mange Kimambi aliyejulikana kama anil kimambi amekuatana na mh paul Makonda na hakikuwekwa wazi kile kilichozungumzwa lakini hii inaweza kuwa kama tishio kwa Mange kutokana na ukweli kwamba inawezekana serikali imeanza vuguvugu la kumtafuta Mange kutokana na mambo yae anayoyafanya katika mtandao wa instagram.

katika ukurasa wake wa instagram, wema aliandika’ RC wangu na Anil Kimambi ..nawaona nawaoana mnafurahia tu picha ya pamoja…isome kwa sauti ya shilawadu shilawadu..naomba njiwa wangu mpelek salamu  kuleee kwa president Magu…ooops kumbe Obama…oh gosh ..i meant  to say Trump”

                                              

 

2
Leave a Reply

avatar
2 Comment threads
0 Thread replies
0 Followers
 
Most reacted comment
Hottest comment thread
1 Comment authors
TitoJones Recent comment authors
newest oldest most voted
Jones
Guest
Jones

mmmh

Tito
Guest
Tito

hapo sawa


in Entertainment
Loading...

#Godseeker,
I am what i ought to be and always i will be, but am not what i used to be.