Loading...

Wema Sepetu ampa Idris Sultan wasiwasi baada ya kumuona na mwanaume mwingine

April 20, 2017 at 17:24
Wema Sepetu ampa Idris Sultan wasiwasi baada ya kumuona na mwanaume mwingine

Kuna uwezekano kwamba Idris Sultan anamtamani Wema Sepetu ambaye alikuwa mpenzi wake. Ingawa wawili hawa waliachana, wawili hawa bado wanaonekana kuwa na urafiki wa karibu.

Hivi majuzi Idris aliposti picha ya Wema Sepetu akiwa na Gabo Zigamba ambaye ni staa wa filamu Tanzania huku akimhoji Sepetu kupitia ukurasa wa Instagram. Kulingana na swali la Idris, mtangazaji huyu alitaka kujua kilichokuwa kikiendelea katikati ya hao wawili.

Mashabiki nao hawakubaki nyuma kwa kumchana Idris Sultan ambaye alionekana kuwa kumuona Wema Sepetu na mwanaume mwingine kulimfanya asikie wivu. Aliandika kwa kusema,

Je wewe waonaje? Ni wivu au utani?

Leave a Reply

Be the First to Comment!

avatar
wpDiscuz

in News
Loading...
I write entertainment stories as well review and critic local music. Apart from my busy schedule you can catch me on social pages by clicking on them below